29 letras de Músicas de Khadja Nin: Baixar MP3, Significado, etc.

Conheça as 29 letras de músicas de Khadja Nin cadastradas no nosso site. Clique em cada uma delas para acessar detalhes diversos.

  1. 1Afrika Obota
    oh! nkomiye. nkombe akeyi, nkombe akeyi, nkombe akeyi,vise bo, vise bo, hm! uviye elingilio n'edingo, elingilio. n'eningo, elingilio n'olingo vise bo, vise bo. amori wa wo w'aniv&a...
  2. 2Ay Ay Ay
    He hausikiye. he fwanya mbiyo. leo kuna raha. kule nyumbani. wana ku ngoja. weye aca tumika. juwa kuma. bibi yako baba. ali pata bebe. ile jembe tupa. kazi ina isha. tuta ceza mpaka kesho. cakula nyin...
  3. 3Bwana C
    Mayisha yangu wewe. Aca niku imbiye. Ujuwe kama. Tangu nimeku ona. Nakupenda nakupenda wewe. Hakuna duniyani. Mapendo zayidi iyi. Najuwa kama. Hayi wezekane. Nakupenda nakupenda wewe. We bwana wa ungi...
  4. 4Damu Ya Salaam
    tangu iraki mpaka amerika. wako karibu yakufunga vita. mi mama mzazi nauliza. ni nani ata linda watoto wetu. bwana hussein anasema:. "nataka salaam". mi si aminiye neno ile. damu yaliyo mwan...
  5. 5Embargo
    leo nasaili. ju mimi sikuelewa mambo yale. unasema embargo. ni njiya ya kuleta amani kwangu. kwa vile naona. ni watu wanahangayika bure. unisamehe sana. ju mimi sione uzuri wake. bwana mukubwa. uje in...
  6. 6Haya
    Haya mpaka ulaya. Haya mpaka aziya. Ata kule amerika. Unalala mutoto njiyani. Unalala mutoto inje. Ni haya. Usi ulize jina yake vile. Ju yeye, tu yeye ule. Hana jina, Yake amejiita haya. Mutoto wa hay...
  7. 7Ile
    Gbemin fi sin ho omin. minde man mon donan nin. gbemin fi sin ho o. minde man mon donan nin. nin ole yi wo le mondji a. nin ole yi wo la ya min a. minde moun yan nou ke la djo o. nonvi yin we. hi he y...
  8. 8Kembo
    unaniaca unaenda tena. nabaki apa mimi peke yangu. watoto, watoto wanaliya. usiende. kembo, kembo, kembo. watoto wanaliya. wewe. "napashwa". wandugu wanaliya. ni wewe. "napashwa"....
  9. 9Leo Leya
    Lyi cacula. Cepe cepe. Sinta kula. Basi ni ace. Si sikiye njala. Mi nili sema. Waca waca. Mi nacoka. Sipende maneno. Nami najuwa. Hauta rudiya. Ju ya nini. Wuko na mwengini. Sema kweli we rafiki. Mupe...
  10. 10Like An Angel
    analiya disiwe. mume wake. ajali haina kinga. wala kafara. anaenda kijana. maladi inamushinda. ana aca bibi. na mutoto mudogo. mwanaume. analala kimya. like an angel. mbele ya kufunga maco. alimwambiy...
  11. 11M'barik Fall
    Kama haumujuwe. Kama hujamuona. Ni yeye M'barik Fall. Amekwenda peke yake. Mutoto akafika ulaya. Njo yeye M'barik fall. Ni sekele ni sekele ya ye. Ukapigana ukawina. Baba yo moko bwana M&apo...
  12. 12Mama
    heweye mama ikala cini. pumuzika kidongo. mayisha yako yote mama. usiku na mucana. unaha,unaha,unahangayika. unatafuta mayisha. mayisha y'umuvyeyi ma. n'urukundo. ihor'ihor'ihorere...
  13. 13Mama Lusiya
    Ni zamani sana mbele ya mbele. Amani ingali fasi yoyote. Ni zamani sana kama milele. Ni adisi yako wewe ma mkubwa nasikiya. Dunuya muzima wanaku ita wewe mama. We wuko wapi. We mama Lusiya. Wuko wapi...
  14. 14Mulofa
    Nili kutana. na Mulofa moja. aloin'ambiya. ana toka jela. aloin'ambiya. sina pesa ya cakula. nili sikiya. na uluma sana. nika mupatiya. na shiling tano. nika mwambiya. nenda ukale cakula. ku...
  15. 15Mupe
    Nawa ita "kabalero". na jina yao keba!. upoteze mupila . hou!. wakukalange. wakupige macenga. waceze merenge. huja ona. sauti uta kosa. uta bakiya . gh!. ye Edson Arantes. Donasimento &quo...
  16. 16Mwana Wa Mama
    We mwana wa mama. Tunapata haya. Mbele ya duniya wandugu. Kweli tumetubiya. Ju tumerudi ku uwana tena wandugu. Tabu ule utamwambiya nini ?. Damu ya wake umemwanga bule. Waca liya. Usiwa ace vile. Uwam...
  17. 17Mzee Mandela
    ndani yangu ni raha na sorrow. nikiwaziya baba. myaka ishirini na saba ya sorrow. kwa bahati. mutu wa haki hana boga, ju ana kweli. mbele ya silaha ukashimamiya uhuru. Nelson Mandela. mzee madiba baba...
  18. 18Njala
    Una hangaliya inje. una ona njala. watoto wana liya . cakula. hawa juwe kama. una ji uliza. ata we mukubwa. mpaka gani?. kila siku njala. njala njala. baba mama dada. walisha kwenda. fasi yote njala....
  19. 19Rosy
    Haweze itika. Hatake umwambiye arudiye. Ye hata bakiya. Ata ji endeya ju ya weye. Anahangayika ju ya maneno hausikiye. Waca nikwambiye. Usi endeleye utuliya. Rosy waca yende akimbiye aone Rosy. Akitak...
  20. 20Rudiya
    Ju ja weye. mwana yao,wana liya. hawa lale tena. wana ngojeya. wana waza (kama). weye wali kudanganya. warafiki yako. watu wabaya. wao wao. hawatake kazi . juwa. weye nangoja weye. we wa mayisha. kwe...
  21. 21Samba Latino
    Kama una probleme. washa radio. ujisikiliziye. muzika sensuel. ikiku ingiya. hayiweze toka. la gente que se va. dejate llevar. vengo pronto. levantate nene. vamos a tocar. la musica del cuerpo. naceza...
  22. 22Sambolera Mayi Son
    Duniya ile Sambolera. Oh ! wanayijifondeya. Duniya yetu Sambolera. Mbona wazimu. mayi. Watu wa duniya Sambolera. Oh ! wanajisondeka. Siyo wa mungu Sambolera. Oh ! ni watu. mayi. Watu wabaya Samboler...
  23. 23Save Us
    Usijidanganye yo mawe. Njiya ile siyo njiya yeto. Ba politike ba sasa ba for myself. Batamaliza bantu. Kila umija mama. Anataka tu modele ya ulaya. Ju modele ya kwetu ya zamani sana. Hatutake kuyijuwa...
  24. 24Sesiliya
    tarehe makuni tatu na moja. ya mwaka juzi. umetuaca. ukaji endeya bila kusema. wuko wa, wuko wa, wuko. wapi. mwenyezi mungo atusayidiye. atupative nguvu. tuendeleye. mwaka unapita, hatuzoweleye. tunal...
  25. 25Simba
    "Watoto yangu. mimi mama yenu. sina nguvu tena. za ku uwa simba. ". ile macezo yote. mi na kumbuka. sinta sahabu. tuli kuwa. tuna ceza. kila siku nyumba. sisi watoto. mayisha ya watoto. inga...
  26. 26Sina Mali, Sina Deni
    Ahiya, Ahiya. Kwa baraka. Mimi napona. Kabisa, ni hajabu. Sina mwili tena. Niko sawa upepo. Mimi masikini. Sina mali mali, sina deni. Mali yangu baba. Ina nyesha kama mvua. Ina ruka kama ndege. Ina ch...
  27. 27Sous Le Charme
    Charmeur maudit charmeur. Bandit bourreau des coeurs. T'es l'dernier des goujats. Ton sourire est une arme. Déloyale et me voilà déjà. Sous le charme. Charmeur maudit cha...
  28. 28Turasa
    ihoze mwana wa mama. uwuvuga ngo umuntu aruta uwundi. yego nanje ndibonera. yuko imibiri yose idasa. uyu urera. urya ukirabura. uriya uravanze. jewe mbona. watu wa ulimwengu wandugu. kaskasini kusini...
  29. 29Wale Watu
    Mbali ya ma inchi yote. Mbali ya Paris au Roma. Kuna watu masikini. Hawa liye hawa ombe. Wana itika tu vile. Wale watu wana imba. Ata kama wana lala njala. Njo vile. kila siku. Waca ile maneno ya bul...
Promo