Letra da Música Sina Mali, Sina Deni de Khadja Nin
Que bom que você chegou até aqui!
Veja abaixo a letra da música que separamos para você!
Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni
Outras Músicas de Khadja Nin
Conheça aqui outras músicas de Khadja Nin que você poderá gostar.
Baixar Música Sina Mali, Sina Deni (Khadja Nin) em MP3
Você pode baixar (fazer o download) ou ouvir diretamente a música Sina Mali, Sina Deni de Khadja Nin no seu celular ou computador através do player abaixo.
Ouvir "Sina Mali, Sina Deni"na Amazon Music UnlimitedOuvir "Sina Mali, Sina Deni"
na Amazon Music UnlimitedBaixar Música Agora!
Ficha Técnica da Música Sina Mali, Sina Deni
Número de Palavras | 114 |
Número de Letras | 839 |
Intérprete | Khadja Nin |
Na tabela acima você vai encontrar dados técnicos sobre a letra da música Sina Mali, Sina Deni de Khadja Nin.